Ginette Daleu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ginette Daleu (23 Septemba 1977 - 9 Novemba 2018) alikuwa msanii kutoka Cameroon.

Biografia[hariri | hariri chanzo]

Ginette Flore Daleu alizaliwa mwaka 1977 eneo la Metet, Cameroon.[1] Alikuwa na shahada kutoka taasisi ya Formation Artistique ndani ya Mbalmayo[2] na alihitimu mwaka 2000. pia alihudhuria huria ya wasomi ya Belle Arti iliyopo Brescia ndani ya Italia.[3] Daleu alikuza Sanaa yake akiwa na umri mdogo akiwa na utambuzi wa kuwa anataka kuja kua msanii, dhidi ya matakwa ya familia yake.[4]

Daleu alifia nyumbani kwake Senegali tarehe 9 Novemba 2018, akiwa mgonjwa.[5]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2006 Daleu alikua miongoni mwa wasanii waliokuwa wakisafiri tokea Douala kuelekea Dakar Biennale,Dak'art, kuchunguza namna ya kuimarisha elimu ya Sanaa Cameroon.[6] Mradi huu ulipatiwa jina Exit Tour na kikundi hicho kilisafiri visiwani, kukutana na kufanya kazi na wasanii na wanafunzi.[7] Safari hii haikua na matumizi katika ArtBakery, shirika la kuhimiza na kuhamasisha wasanii Cameroon.[6] kufanya kazi ndani ya na jamii ilikua sehemu muhimu ya utendaji kazi wa Daleu.[8]

Kwani kujihusisha kwa Daleu na Art Bakery ilibadilisha utendaji wake kutoka Sanaa ya mapambo au upambaji kwenda kwenye uchunguzi wa masomo yenye sehemu ambazo hazijakamilika kama Bessengué City.[9] Mda mwingine kazi zake zilitolewa moja kwa moja kutoka kwenye uchunguzi alio kua akifanya.[10] hii ilepelekea kolagi na picha zake kua salama katika utendaji wa kazi wa Daleu.[9] Makazi katika Rijksakademie van beeldende ndani ya Amsterdam kazi iliyozalishwa kwa majaribio ya "kubandua ngozi za vitu".[11] Kazi zake zilionyeshwa Ujerumani,[12] Uswizi[13] na Italia.[14]

Benki ya dunia ilidhamini maonyesho ya kazi za wasanii wa Camerooni katika mwaka 2014, na Daleu alikua miongoni ya watu waliojumuishwa.[4] alizalisha mfululizo wa filamu zilizo pewa majina'Architextures et Les introuvables'.[4]

Katika mwaka 2018 Daleu alikua miongoni mwa wasanii waliotumwa na Videoart at Midnight katika tamasha la Sanaa ya video Berlin.[15] Msanii aitwaye Majewski alishirikiana na Daleu kwenye kazi mpya iliyoitwa Le Trône, ambapo video na michoro ilichunguza na kuonyesha urthi wa ukoloni wa kijerumani ndani ya Cameroon.[16] pia alionyeshwa katika Dak'art mwaka 2018.[17]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Ginette Daleu. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-02-27. Iliwekwa mnamo 2021-03-27.
 2. Schemmel, Annette (2015). Visual arts in Cameroon : a genealogy of non-formal training, 1976-2014. Mankon, Cameroon: Langaa Research & Publishing CIG, 221. ISBN 978-9956-763-99-3. OCLC 950196045. 
 3. Tchidjé, David (2018-11-10). Une âme artistique reste alors que s'en va GINETTE FLORE DALEU. (fr-FR).
 4. 4.0 4.1 4.2 (2014) Cameroun, une vision - World Bank Group, 18. 
 5. Tchidjé, David (2018-11-10). Une âme artistique reste alors que s'en va GINETTE FLORE DALEU. (fr-FR).
 6. 6.0 6.1 An Epic Art Journey through West Africa | Contemporary And (de).
 7. Daleu Ginette, visual artist (fr).
 8. Forni, Silvia; Malaquais, Dominique (2018-09-02). "Village Matters, City Works: Ideas, Technologies, and Dialogues in the Work of HervÉ Youmbi". Critical Interventions 12 (3): 294–305. doi:10.1080/19301944.2018.1532380 . ISSN 1930-1944 .
 9. 9.0 9.1 Schemmel, Annette (2015). Visual arts in Cameroon : a genealogy of non-formal training, 1976-2014. Mankon, Cameroon: Langaa Research & Publishing CIG, 238. ISBN 978-9956-763-99-3. OCLC 950196045. 
 10. Ginette Daleu (fr-FR) (2014-05-05).
 11. Ginettehome.
 12. Afrikanische Kunst Ginette Daleu (Malerin) | Fachprogramme für Klassenfahrten (de-DE).
 13. Making Douala.
 14. exibart_admin. Ginette Flore Daleu - Bessengue: la materia racconta (it-IT).
 15. Ginette Daleu (de).
 16. Le Trône (The Throne), 2019 (en-GB).
 17. Le plasticien camerounais Abdias Ngateu nous ouvre son univers (fr) (2018-05-15).