Gina Mariam Bass Bittaye
Mandhari
Gina Mariam Bass Bittaye (aliyezaliwa tarehe 3 Mei 1995), anayefahamika zaidi kama Gina Bass, ni mwanariadha nyota kutoka nchini Gambia anayebobea katika mbio za mita 100 na 200.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Gina Mariam BASS BITTAYE | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2026-05-07.
- ↑ "Athletics - Round 1 - Heat 5 Results". olympics.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-05-07.
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gina Mariam Bass Bittaye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |