Nenda kwa yaliyomo

Gijón

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gijón ni mji wa Hispania, mkubwa zaidi katika mkoa wa Asturias.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 271,780 [1] na kuufanya wa kumi na tano nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Cifras oficiales de población resultantes de la revisión del Padrón municipal a 1 de enero. Detalle municipal". INE.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gijón kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.