Nenda kwa yaliyomo

Gianni Motta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gianni Motta (amezaliwa Cassano d'Adda, Lombardia; 13 Machi 1943) ni mwanariadha wa zamani Mwitalia wa mbio za baiskeli ambaye alishinda Giro d'Italia ya mwaka 1966.

Gianni Motta alizaliwa huko . Ushindi wake mkuu ni pamoja na Giro d'Italia (1966), Giro di Lombardia (1964), Tour de Suisse (1967) na Tour de Romandie mbili (1966, 1971).[1][2][3]

  1. "A history of foreign starts at the Giro d'Italia". cyclingnews.com. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Gianni Motta". www.procyclingstats.com. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Gianni Motta – FirstCycling.com". firstcycling.com. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gianni Motta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.