Gianni Ambrosio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Gianni Ambrosio.

Gianni Ambrosio (amezaliwa Santhià, 23 Desemba 1943) ni askofu Mkatoliki nchini Italia.

Alipata upadrisho tarehe 7 Julai 1968.

Tarehe 22 Desemba 2007 ametangazwa kuwa askofu wa Jimbo la Piacenza-Bobbio.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gianni Ambrosio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.