Nenda kwa yaliyomo

Gianmarco Tamberi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gianmarco Tamberi

Gianmarco Tamberi (alizaliwa 1 Juni 1992) ni mwanariadha wa Italia ambaye alishiriki michezo ya kuruka juu, bingwa wa Olimpiki wa awali (2020), bingwa wa nje wa Uropa (2024) na bingwa wa nje wa Dunia (2023).[1]

Alishinda Taji la Ligi ya Diamondla 2021, na kuwa Mtaliano wa kwanza kabisa kufanya hivyo, [2] na akarudia hii mwaka 2022 [3] na 2024. [4]

  1. "REPORT: MEN'S HIGH JUMP – IAAF WORLD INDOOR CHAMPIONSHIPS PORTLAND 2016".
  2. "Athletics: it is the year of Tamberi, he triumphs in Zurich jumping 2.34. First Italian to win the Diamond League". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-30. Iliwekwa mnamo 2025-02-03.
  3. "Jumps success for Tamberi and Kennedy".
  4. "Diamond League Final 2024: Faith Kipyegon and Femke Bol retain Diamond Trophies as Gianmarco Tamberi soars in Brussels". Olympics.com.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gianmarco Tamberi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.