Giacomo Capuzzi
Mandhari
Giacomo Capuzzi (14 Agosti 1929 – 26 Desemba 2021) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki wa Italia, aliyewahi kuhudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Lodi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |