Nenda kwa yaliyomo

Ghassan Andoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ghassan Andoni

Ghassan Andoni (alizaliwa mwaka 1956) ni mwanaharakati wa Palestina. Alizaliwa mjini Beit Sahour katika familia ya Wakristo wa Palestina, akiwa ni profesa wa fizikia katika Chuo Kikuu cha Bir Zeit kilichopo Ukingo wa Magharibi. Ghassan anapendekeza mapambano yasiyo ya vurugu katika mgogoro wa Israel na Palestina. [1]

  1. Kaufman-Lacusta, Maxine; Franklin, Ursula; Ghassan, Andoni; Halper, Jeff; Kuttab, Jonathan; Starhawk (2022-07-01). Refusing to Be Enemies: Palestinian and Israeli Nonviolent Resistance to the Israeli Occupation (kwa English). Ithaca Press. ISBN 9780863725296.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ghassan Andoni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.