Gertrude Shope
Mandhari
Gertrude Ntiti Shope OMSS (15 Agosti 1925 – 22 Mei 2025) alikuwa mwanaharakati wa vyama vya wafanyakazi na mwanasiasa wa Afrika Kusini.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kathleen E. Sheldon (2005). Historical Dictionary of Women in Sub-Saharan Africa. Scarecrow Press. ISBN 978-0-8108-5331-7.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gertrude Shope kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |