Gert van den Bergh
Mandhari
Gert Van den Bergh (16 Oktoba 1920 – 16 Februari 1968) alikuwa mwigizaji wa sinema wa Afrika Kusini. Alioana na Dulcie (Magdeld Magdalena) van den Bergh (23 Agosti 1928 – 8 Novemba 1997) (née Smit).[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Database (undated)."Van den Bergh, Gert". The British Film Institute Film and Television Database. Imepatikana 11 Agosti 2010.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gert van den Bergh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |