Gershomu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Gershom)

Gershomu alikuwa mtoto wa kiume wa kwanza wa Musa na Zipora kadiri ya Biblia (Kutoka 2:22).

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gershomu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.