German Truck Simulator

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya German Truck Simulator

German truck simulator ni mmoja kati ya michezo ya video yenye kusisimua iliyotengenezwa na SCS Software na kuchapishwa na Excalibur Publishing.

Kama wafanyakazi katika mchezo huu wachezaji huweza kusafiri majiji 18 nchini Ujerumani, majiji 4 nchini Australia wakibeba mizigo.

Mwisho wachezaji wana uwezo wa kununua malori yao, huku wakicheza kama madereva na kuchagua mizigo watakayo kibeba na mahali pa kuifikisha.

Jinsi ya kucheza[hariri | hariri chanzo]

Mchezaji ataanza kama muajiriwa katika kampuni mojawapo ya kusafirisha mizigo. Ikiwa anafanya kazi kwa bidii na kukamilisha kazi zake anaweza kununua lori lake mwenyewe na kuanza biashara yake mwenyewe. Inawezekana kununua gereji na ofisi za tawi za kuanzisha nchini Ujerumani ili kuboresha kazi yake. Mchezaji anaweza kuboresha malori na kuyaweka katika hali ya juu kwa ufanisi wa juu na mambo kama mafuta, na hali ya lori.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu German Truck Simulator kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

upande wa