Gerhard Hirschfelder
Mandhari
Gerhard Hirschfelder (17 Februari 1907 – 1 Agosti 1942) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki kutoka Ujerumani aliyepinga utawala wa Kinazi.[1]
Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 19 Septemba 2010.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Blessed Gerhard Hirschfelder". Saints SQPN. 10 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 13 Februari 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |