Gerard Cox
Gerard Cox mwaka 2007 | |
| Jina la kuzaliwa | Gerardus Antonius Cox |
|---|---|
| Habari za jumla | |
| Tarehe ya kuzaliwa | 6 Machi 1940 |
| Mahali pa kuzaliwa | Rotterdam, Uholanzi |
| Tarehe ya kifo | 13 Septemba 2025 |
| Mahali pa kifo | Mijnsheerenland, Uholanzi |
| Taifa | Mhollanzi |
| Kazi | Muigizaji, Mwimbaji |
| Miaka ya kazi | 1961–2025 |
| Zawadi | Radio 5 Nostalgia Oeuvreprijs |
| Tovuti | www.gerardcox.nl |
Gerardus Antonius Cox (6 Machi 1940 – 13 Septemba 2025) alikuwa mwimbaji, mchekeshaji, mwigizaji na mkurugenzi wa filamu kutoka Uholanzi. Alijulikana kwa kucheza kama mhusika mkuu katika sitcom ya Kiholanzi Toen Was Geluk Heel Gewoon kwa miaka 15.[1][2][3][4][5]
Maisha na Kazi
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa Machi 6, 1940, na kufanya filamu kwa mara kwanza mwaka 1977 katika Het Debuut. Mwaka 2018, alicheza kwenye kipindi cha vichekesho Beter Laat Dan Nooit, akizunguka dunia na waigizaji maarufu wa Uholanzi. Mwaka 2020, Alicheza filamu akiwa pamoja na mke wake wa zamani, Joke Bruijs, ingawa walikuwa wametengana mwaka 1987. Baadaye, mwaka 2022, walicheza tena pamoja katika filamu inayoitwa Casa Coco.
Mnamo Agosti 2025, Cox alitangaza kuwa ana saratani ya koo iliyosambaa akakataa matibabu. Alifariki Mijnsheerenland Septemba 13, 2025 akiwa na umri wa miaka 85.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Gerard Cox: 'Er mag tegenwoordig niks meer in films'". NU.nl (kwa Kiholanzi). 12 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2025.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ van den Tempel, Mark (15 Februari 2021). "Opnamen Casa Coco van start". Holland Film Nieuws (kwa Kiholanzi). Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Joke Bruijs (70) kondigt pensioen aan en stopt met acteren en zingen" [Joke Bruijs (70) announces retirement and stops with acting and singing]. NU.nl (kwa Kiholanzi). 21 Oktoba 2022. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Acteur en zanger Gerard Cox (85) ongeneeslijk ziek". NOS Nieuws (kwa Kiholanzi). 2025-08-16. Iliwekwa mnamo 2025-09-14.
- ↑ "Zanger en acteur Gerard Cox op 85-jarige leeftijd overleden". NU.nl. Iliwekwa mnamo 2025-09-14.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gerard Cox kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |