Gerald Eugene Wilkerson
Mandhari
Gerald Eugene Wilkerson (alizaliwa 21 Oktoba 1939) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.
Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Los Angeles kuanzia 1997 hadi 2015 na kama msimamizi wa kitume wa Jimbo la Monterey kwa miezi sita katika mwaka 2018 na 2019.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Diocese of Monterey conducting priest personnel file review". Monterey Herald (kwa American English). 2018-12-18. Iliwekwa mnamo 2021-12-12.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |