Nenda kwa yaliyomo

Georgios Roubanis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Georgios Roubanis (Tripoli, Ugiriki, 1929 - 2025) ni mrukaji kwa kutumia mti kutoka Ugiriki.

Alishiriki katika Michezo mitatu ya Olimpiki. Yeye ni kaka wa Aristeidis.[1] Alitajwa kuwa Mwanariadha Bora wa Kigiriki wa mwaka 1956.

  1. "Georgios Roubanis Olympic Results". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-17. Iliwekwa mnamo 2025-02-03.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Georgios Roubanis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.