Georgette Cottin-Euziol
Mandhari
Georgette Cottin-Euziol (El Affroun, Algeria, 7 Mei 1926 - 11 Aprili 2004) alikuwa binti wa Céline Rosalie Lecucq, mwalimu, na Gabriel Louis Cottin, mhandisi.[1]
Georgette Cottin-Euziol alikuwa mbunifu wa majengo wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria, mmoja wa wanawake wa kwanza kuwa wabunifu wa majengo katika nchi zote mbili.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gallissot, René (19 February 2014), "COTTIN Georgette", Dictionnaire Algérie (in French), Paris: Maitron/Editions de l'Atelier, archived from the original on 1 January 2022, retrieved 4 June 2022
- ↑ Georgette COTTIN EUZIOL - Dictionnaire créatrices". www.dictionnaire-creatrices.com. Retrieved 4 June 2022.
- ↑ Leconte, Marie-Laure Crosnier (2 December 2021). Cottin-Euziol, Georgette (in French). Archived from the original on 2 January 2022. Retrieved 1 January 2022.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Georgette Cottin-Euziol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |