Nenda kwa yaliyomo

George Panikulam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

George Panikulam (alizaliwa 26 Oktoba 1942) ni askofu wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar ambaye alitumia maisha yake katika idara ya kidiplomasia ya Vatikani.

Alipewa cheo cha balozi wa Papa (nuncio) mwaka 1999 na aliwekwa wakfu kuwa askofu mwaka 2000. Alistaafu mwaka 2017.[1]

  1. "Pontificia Accademia Ecclesiastica, Ex-alunni 1950 – 1999" (kwa Kiitaliano). Pontifical Ecclesiastical Academy. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.