Nenda kwa yaliyomo

George Orton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Orton akiwa amevaa sare zake za Chuo Kikuu cha Pennsylvania mwaka 1897.

George Washington F. Orton (Alizaliwa Januari 10, 1873 – Alifariki Juni 24, 1958) alikuwa mwanariadha wa Kanada wa mbio za masafa ya kati na marefu. Mnamo 1900, alikua Mkanada wa kwanza kushinda medali katika Michezo ya Olimpiki. Alishinda shaba katika mbio za mita 400 kuruka viunzi na dakika arobaini na tano baadaye, alishinda medali ya dhahabu katika mbio za kuruka maji za mita 2500.[1][2][3]



  1. "George Orton". Olympedia. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Wins Fame as a Teacher, Orton, Famous College Athlete to be Headmaster at Banks Business College," Philadelphia Bulletin, June 25, 1905.
  3. https://www.guelphhistoricalsociety.ca/archives/historic-guelph/volume-46/the-first-canadian-olympic-champion-george-orton-of-guelph Ilihifadhiwa 11 Machi 2023 kwenye Wayback Machine. Greg Oakes, "The First Canadian Olympic Champion: George Orton of Guelph", Guelph Historical Society, Vol. 45, 2002 (updated 2022).
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Orton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.