George Martinuzzi
Mandhari


George Martinuzzi, O.S.P.P.E. (1482 – 16 Desemba 1551) alikuwa mzaliwa wa Kroatia, mtawa wa shirika la Mt. Paulo Mkaapweke wa Kwanza na kiongozi wa serikali wa Hungaria ambaye alimuunga mkono Mfalme John Zápolya na mwanae, Mfalme John Sigismund Zápolya.
Alikuwa Askofu wa Nagyvárad (sasa Oradea), Askofu Mkuu wa Esztergom na Kardinali.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |