George Kurtz
Mandhari
George Kurtz (Alizaliwa Oktoba 14, 1970) ni mjasiriamali na mfanyabiashara bilionea nchini Marekani.[1] Yeye ni mwanzilishi mwenza na afisa mkuu mtendaji wa CrowdStrike, kampuni ya teknolojia ya usalama wa mtandao (cybersecurity).[2] Kurtz pia anamiliki kwa ushirika timu ya Mercedes-AMG Petronas Formula One Team, akihudumu kama mshauri wa teknolojia na mwanachama wa kamati ya uongozi.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Who is CrowdStrike CEO George Kurtz?". The Independent (kwa Kiingereza). 2024-07-21. Iliwekwa mnamo 2024-11-01.
- ↑ "George Kurtz". Bloomberg. Iliwekwa mnamo 2026-04-21.
- ↑ "CrowdStrike founder Kurtz buys into Mercedes F1 team".
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Kurtz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |