Nenda kwa yaliyomo

George Jonathan Dodo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

George Jonathan Dodo (17 Agosti 19568 Julai 2022) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Nigeria.

Dodo alizaliwa nchini Nigeria na alipewa daraja ya upadre mwaka 1983. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Zaria, Nigeria, kuanzia mwaka 2000 hadi kifo chake mwaka 2022.[1]

Baada ya kifo chake, shirika la misaada la Kanisa Katoliki, Aid to the Church in Need, lilimtaja kama kiongozi mnyenyekevu na mwenye ujasiri.[2]

  1. "Bishop George Jonathan Dodo †". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 9 Julai 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ACN (2022-08-09). "The Bishop of Zaria, Nigeria, dies of illness". ACN International (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-17.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.