George Fox
Mandhari
George Fox (aliyezaliwa tarehe 23 Machi, mwaka 1960) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za muziki wa country kutoka nchini Kanada, alikulia Cochrane na Alberta, akiwa mtoto wa wafugaji wa ng'ombe, Bert na Gert Fox.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Rockingham, Graham (Agosti 18, 2022). "A look back on George Fox's Hall of Fame career". The Hamilton Spectator.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "George Fox", Canadian Encyclopedia of Music
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Fox kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |