Nenda kwa yaliyomo

George Edozie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

George Edozie (alizaliwa 11 Mei 1972) ni mchoraji kutoka Nigeria akiishi Lagos, Nigeria. [1]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

George Edozie alizaliwa tarehe 11 Mei 1972. Alisoma katika Shule ya Msingi ya University Primary School, Nsukka, Jimbo la Enugu, na Washington Memorial School, Onitsha, Jimbo la Anambra. Edozie alisomea Sanaa za Kupaka Rangi (Fine & Applied Arts) katika Chuo Kikuu cha Benin kilichopo Jiji la Benin, Jimbo la Edo, ambapo alihitimu na shahada ya BA mwaka 1996.[1]


  1. 1 2 Homage to Asele: An Exhibition in Honour of Uche Okeke (kwa Kiingereza). Pendulum Art Gallery. 2003.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Edozie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.