Nenda kwa yaliyomo

George Dunlop Leslie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

George Dunlop Leslie (Julai 2, 1835Februari 21, 1921) alikuwa mwandishi, na mchoraji picha wa Uingereza. Alikuwa mwanachama wa Royal Academy(RA) na alijulikana kwa uchoraji wake wa maisha ya watoto na familia katika mazingira ya vijijini. Alichapisha kitabu Our River (1889) na The Inner Life of the Royal Academy (1914).[1]

  1. "G D Leslie". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Julai 2016. Iliwekwa mnamo 2014-07-26.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Dunlop Leslie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.