George Alapatt
Mandhari
Mar George Alapatt (11 Februari 1900 – 6 Novemba 1973) alikuwa askofu wa nne wa Jimbo kuu la Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar la Thrissur, kutoka 1 Mei 1944 hadi 4 Juni 1970, alipojistaafu.
Alizaliwa huko Karanchira katika wilaya ya Thrissur mnamo 11 Februari 1900. Alihudhuria vikao vyote vinne vya Mtaguso wa pili wa Vatikani (1962–1965).
Alifariki usingizini tarehe 6 Novemba 1973.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Former Bishops". Trichur Archdiocese. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 2011-08-12.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |