Nenda kwa yaliyomo

Geoffrey Cronjé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Geoffrey Cronjé (30 Desemba 190723 Januari 1992) alikuwa profesa wa sosholojia wa Afrika Kusini katika Chuo Kikuu cha Pretoria na mmoja wa waasisi wa mfumo wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini.[1][2]

  1. Louw, P. Eric (2004). The Rise, Fall, and Legacy of Apartheid. Greenwood Publishing Group. ku. 27–55. ISBN 0-275-98311-0.
  2. Coetzee, J M (Juni 15, 1991). "The mind of apartheid: Geoffrey Cronjé (1907-)". Social Dynamics. 17 (1): 1–35. doi:10.1080/02533959108458500.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Geoffrey Cronjé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.