Nenda kwa yaliyomo

Genya Ravan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Genya Ravan (alizaliwa Genyusha Zelkowitz; 19 Aprili, 1940), pia anajulikana kwa jina la Goldie ni mwimbaji na mtayarishaji wa muziki wa rock kutoka Marekani. Alikuwa mwimbaji mkuu wa bendi za **Escorts**, **Goldie and the Gingerbreads** na **Ten Wheel Drive**.[1][2]

  1. Browne, David (2021-07-01). "Goldie and the Gingerbreads Were One of Rock's First All-Women Bands. Why Are They Still So Obscure?". Rolling Stone (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-01-17.
  2. "Genya Ravan". Discogs. Iliwekwa mnamo Agosti 2, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Genya Ravan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.