Nenda kwa yaliyomo

Gentil Delázari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gentil Delázari (9 Septemba 194031 Oktoba 2022) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Brazil.

Delázari alizaliwa nchini Brazil akapewa daraja ya upadre mwaka 1968. Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Sinop mwaka 1994 hadi 1995, kisha akawa askofu wa jimbo hilo kuanzia 1995 hadi alipostaafu mwaka 2016.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.