Nenda kwa yaliyomo

Generali Arena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Generali Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Vienna nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FK Austria Wien na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 17,656.[1]

  1. "Home of Austria Wien". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-03. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Generali Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.