Gaziantep

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:52, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q93338 (translate me))

Gaziantep (Kiosmani Kituruki; Ayintap), jina la zamani na hadi leo linatumika kufupisha kama; Antep) ni jina la kutaja mji mkuu wa Jimbo la Gaziantep nchini Uturuki. Mji huu unatazamika kama moja kati ya miji ya kale duniani ambayo hadi leo bado inakaliwa.

Mji huu unavituo viwili vya utawala wa wilaya zake, Şahinbey na Şehitkamil, na una kaliwa na wakazi wapatao 1,237,874[1] (2007) na una kilomita za mraba zipatazo 2,138.[2]

Huu ni mji wa sita kwa ukubwa nchini Uturuki na ndiyo mji mkubwa katika Anatolia ya Kusini-Mashariki - Uturuki.

Jina la mji

Mji ulikuwa ukijulikana na Wagiriki wa Kale na Waroma kama Doliche au Dolichenus (Kituruki: Dülük). Waarabu, Waseljuk, Waosma walilijua kama ʿAintab au Aïntab, ambalo linatokana na Kiarabu Ayn (chemchem) na tab (nzuri).

Tangu tar. 8 Februari 1921,[3]. Mji ulipewa jina rasmi la Gaziantep, gazi kwa Kiarabu linamaana mkongwe.

Historia

Marejeo

  1. Türkiye istatistik kurumu Address-based population survey 2007. Retrieved on 2008-03-21.
  2. Statoids, Districts of Turkey Retrieved on 2008-03-21.
  3. Bunge la Uturuki lilitoa jina la mji kuwa ni Gazi ("shujaa mshindi") mnamo 8 Februari 1921 (on the day of its surrender to French troops and in recognition of long resistance and the valor of its inhabitants during the Franco-Turkish War phase of the Vita vya Uhuru wa Uturuki,Chronology of Atatürk's life and the Turkish War of Independence "1921 chronology" (kwa Turkish). Turkish Ministry of Culture.  and the city officially took the name Gaziantep ("Antep the Veteran"). TBMM "Records" (kwa Turkish). Turkish Grand National Assembly. 

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gaziantep kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.