Gaudentius wa Ossero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Gaudentius wa Ossero, O.S.B.Cam. (kwa Kilatini: Gaudentius Auxerensis; kwa Kiitalia: Gaudenzio di Ossero) alikuwa askofu wa Ossero, katika kisiwa cha Lošinj (leo nchini Croatia) tangu mwaka 1030, huku akipingwa na kusingiziwa[1] hadi 1042, alipojiuzulu na kujiunga na Wabenedikto Wakamaldoli chini ya Peter Damian.

Alifariki Ancona tarehe 31 Mei 1044.

Tangu kale huheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Juni.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]