Gary K. Michelson
Mandhari
Gary K. Michelson (alizaliwa Januari 14, 1949) ni daktari wa mifupa, mvumbuzi wa matibabu, na mfadhili bilionea nchini Marekani.Alikua bilionea mwaka 2005 alipofikia suluhu ya dola bilioni 1.35 na kampuni ya vifaa vya matibabu Medtronic baada ya miaka ya kesi za kisheria[1][2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Gary Michelson". forbes.com. Iliwekwa mnamo 3 Aprili 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Helfand, Duke (2011-06-05). "How I Made It: Dr. Gary Michelson". Los Angeles Times. Iliwekwa mnamo 3 Aprili 2017.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gary K. Michelson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |