Nenda kwa yaliyomo

Gary Bailey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gary Richard Bailey (amezaliwa 9 Agosti 1958) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu ambaye alicheza karibu mechi 300 katika the Football League kama golikipa wa Manchester United. Alizaliwa Ipswich, Suffolk, lakini alikulia Afrika Kusini, na baadaye aliichezea timu ya taifa ya England (England) mara mbili.[1][2]

  1. ↑ [(http://www.neilbrown.newcastlefans.com/player/garybailey.html) "Gary Bailey"]. UK A–Z Transfers. Neil Brown. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2010. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
  2. ↑ Kigezo:Englandstats
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gary Bailey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.