Nenda kwa yaliyomo

Gaetano de Lai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gaetano de Lai (26 Julai 1853 – 24 Oktoba 1928) alikuwa askofu na kardinali wa Kanisa Katoliki na sehemu ya Curia ya Roma. Alijulikana kwa kuwa mtetezi hodari wa vuguvugu la kifalme la Ufaransa, Action Française.[1]

  1. Weber, Eugene (1962). Action française: royalism and reaction in twentieth century France. Stanford, California: Stanford University Press. uk. 35. ISBN 9780804701341.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.