Gabrielle Calizo-Quimpo
Mandhari
Gabrielle "Billie" V. Calizo-Quimpo (alizaliwa mjini Balete, Aklan) ni mwanasiasa mwanamke wa Ufilipino. Yeye ni binti wa aliyekuwa Meya wa Balete, marehemu Teodoro F. Calizo.[1] Ameolewa na Reynaldo "Boy" Quimpo.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Espartero, Ulysses. "Aklan's Indefatigable Vice Governor". The third world mind. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Overview". Facebook. Iliwekwa mnamo 11 Juni 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gabrielle Calizo-Quimpo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |