Nenda kwa yaliyomo

Gabriel wa Kakheti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gabriel (alifariki 881), akitokea katika familia ya Donauri, alikuwa mwana-mfalme na Chorepiscopus wa Kakheti mashariki mwa Georgia kutoka 861 hadi 881.


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriel wa Kakheti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.