Gabriel Montalvo Higuera
Mandhari
Gabriel Montalvo Higuera (27 Januari 1930 – 2 Agosti 2006) alikuwa askofu wa Kolombia wa Kanisa Katoliki ambaye alifanya kazi katika idara ya kidiplomasia ya Vatikani kwa miaka hamsini, akiwa na cheo cha askofu mkuu na Balozi wa Papa (nuncio) kuanzia mwaka 1974. Majukumu yake yalijumuisha kazi kama balozi katika Amerika ya Kati, Kaskazini mwa Afrika, Yugoslavia na Marekani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pontificia Accademia Ecclesiastica, Ex-alunni 1950 – 1999" (kwa Kiitaliano). Pontifical Ecclesiastical Academy. Iliwekwa mnamo 19 Julai 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |