Gabriel Mbilingi
Mandhari
Gabriel Mbilingi C.S.Sp. (alizaliwa 17 Januari 1958 katika Bândua, Bié, Angola) ni Askofu Mkuu wa sasa wa Lubango, Angola.
Tangu 20 Novemba 2009, yeye ni rais wa Mkutano wa Maaskofu wa Angola na São Tomé na Príncipe (CEAST - Conferência Episcopal de Angola e São Tomé e Príncipe).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Organisation of the Episcopal Conference of Angola and Sao Tomé and Principe Archived 2011-07-25 at the Wayback Machine (Portuguese)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |