Gabi Gonçalves
Mandhari
Gabriela Cristina Gonçalves da Silva Cordeiro, anayejulikana zaidi kama Gabi Gonçalves (alizaliwa 17 Novemba 1999), ni mwanasiasa wa Brazil. Mnamo mwaka 2022, alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo (state deputy) kwa ajili ya jimbo la Alagoas.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Eleições 2022: Gabi Goncalves" (kwa Kireno (Brazili)). Folha de S.Paulo.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gabi Gonçalves kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |