Nenda kwa yaliyomo

Gaël Bigirimana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gaël Bigirimana (matamshi ya Kirundi: [ɡaˈeːl βiɟiriˈmaːnaː]; alizaliwa 22 Oktoba 1993) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu kutoka nchini Burundi. Anaichezea klabu ya Dungannon Swifts katika NIFL Premiership, na pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Burundi katika nafasi ya kiungo.[1][2]

  1. "Internationals - Magpies Take Flight". Newcastle United F.C. 12 Novemba 2015. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Coventry's boy from Burundi". BBC Sport. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gaël Bigirimana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.