GTA San Andreas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
GTA san andreas
GTA san andreas

Grand Theft Auto: San Andreas ni moja ya michezo ya video kwa mfululizo wa mchezo wa Grand Theft Auto. Ilifanywa na Kampuni ya Michezo ya Rockstar. Mchezo ulitokea kwenye PlayStation 2 kwanza na baadaye kwenye Xbox na kompyuta. Katika mchezo huu, mchezaji anaweza kufanya chochote anachotaka, ikiwa ni pamoja na kupiga au kuua watu, magari na uharibifu wa mali na vitu kama vile vurugu. Hiyo ndiyo sababu moja kwa nini mchezo huu ni maarufu sana.