Nenda kwa yaliyomo

Gëzim Boçari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gëzim Boçari (alizaliwa 25 Machi 1949) ni profesa wa famakolojia (elimu ya dawa) na mwanasiasa wa Albania.

Gëzim Boçari ni mkuu wa kitengo na sekta ya famakolojia katika kitivo cha udaktari kwenye Chuo Kikuu cha Tirana.[1] Yeye ni mmoja wa waandishi wa vitabu vya kiada vya udaktari na famakolojia vinavyotumiwa katika vyuo vikuu vya Albania.[2] Katika uchaguzi wa bunge wa mwaka 2009 nchini Albania, alikuwa mgombea mkuu wa muungano wa Pole of Freedom katika wilaya ya Vlorë.

  1. "South East European Regional Pharmaceutical Conference" (PDF). World Health Organization. 2006. uk. 21. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2009-12-01. Iliwekwa mnamo 2010-05-22.
  2. "National Library Registry". National Library of Albania. Iliwekwa mnamo 2010-05-22.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gëzim Boçari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.