Gérson
Mandhari
| Gérson | |
Gérson akiwa na Brazil mwaka 1970 | |
| Amezaliwa | 11 Januari 1941 Niterói, Brazil |
|---|---|
| Urefu | 1.70 m (5 ft 7 in)[1] |
Gérson de Oliveira Nunes (anajulikana zaidi kama Gérson; alizaliwa 11 Januari 1941) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Brazil aliyecheza kama kiungo. Alishinda mataji mengi ya kitaifa akiwa na klabu za Flamengo, Botafogo, São Paulo na Fluminense. Anajulikana kwa kiasi kikubwa kama "ubongo" wa timu ya taifa ya Brazil iliyotwaa ubingwa wa kombe la dunia la Fifa mwaka 1970 nchini Mexico.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gérson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |