Nenda kwa yaliyomo

Gérald Lacroix

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gérald Cyprien Lacroix ISPX (alizaliwa 27 Julai 1957) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Kanada ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Quebec na Primate wa Kanada tangu 2011.

Amekuwa kardinali tangu 22 Februari 2014.

Kabla ya hapo, alikuwa Askofu Msaidizi wa Quebec. Yeye ni mwanachama wa Baraza la Makardinali na Taasisi ya Kisekulari ya Pius X.[1]

  1. "NOMINA DELL'ARCIVESCOVO METROPOLITA DI QUÉBEC". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Machi 2012. Iliwekwa mnamo 22 Februari 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.