Nenda kwa yaliyomo

Fyodor Buslaev

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fedor Ivanovich Buslaev ( 25 Aprili 1818 – 12 Agosti 1898) alikuwa mtaalamu wa filolojia, mwanahistoria wa sanaa na mtafiti wa fasihi simulizi kutoka Urusi. Aliwakilisha mkondo wa Mythological school katika taaluma ya fasihi linganishi na isimu linganishi. Aliathiriwa kwa kiasi kikubwa na Jacob Grimm na Theodor Benfey.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fyodor Buslaev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.