Nenda kwa yaliyomo

Fuso (kampuni)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Logo ya FUSO

Mitsubishi Fuso Truck and Bus Corporation ni mtengenezaji wa malori na mabasi kutoka Japan, yenye makao yake makuu Kawasaki, Kanagawa. Kampuni hii inamilikiwa na Daimler Truck ya Ujerumani[1].

Jina "Fuso" linatokana na neno la Kichina la zamani "fusang" (扶桑), linalomaanisha mti mtakatifu unaodaiwa kukua mashariki mahali ambapo jua linachomoza, na mara nyingi limetumika kumaanisha Japan. Mti wa "fuso" kihalisi ni hibiscus.

  1. Archived Novemba 20, 2008, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.