Nenda kwa yaliyomo

Fusheini Hudu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fusheini Hudu Angulu ni mtaalamu wa isimu wa Ghana na mtaalamu wa fonolojia ya lugha ya Kidagbani akiwa pia ni mhadhiri katika idara ya Isimu katika Chuo Kikuu cha Ghana.[1][2]

  1. Hansson, Gunnar Ólafur (2010-11-01). Consonant Harmony: Long-Distance Interactions in Phonology (kwa Kiingereza). University of California Press. ISBN 9780520098787.
  2. "Media, lawyers urged to ensure rights of Ghanaians protected". Ghana Business News. 2012-08-13. Iliwekwa mnamo 2017-05-28.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fusheini Hudu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.