Nenda kwa yaliyomo

Funmilade Akingbagbohun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Funmilade Akingbagbohun ni Mhandisi wa Mitambo kutoka Nigeria, anayejulikana kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuwa Mwenyekiti wa Kitaifa wa Taasisi ya Wahandisi wa Mitambo nchini Nigeria (NIMechE).

Akingbagbohun alipata Diploma ya Juu ya Kitaifa (HND) kutoka Chuo cha Teknolojia cha Yaba (Yabatech) kabla ya kupata Shahada ya Uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Lagos pia Akingbagbohun alipata Shahada yake ya kwanza ya Uhandisi (B.Eng) kutoka Chuo Kikuu cha Ibadan. [1]

  1. "Fashola Excited as Nigeria's Mechanical Engineers Get first Female Chair | The Nigerian Institution of Mechanical Engineers". 2022-02-25. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-04-20. Iliwekwa mnamo 2024-05-12.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Funmilade Akingbagbohun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.