Funke Abimbola
Funke Abimbola MBE ni mfanyabiashara na mwanasheria kutoka Nigeria. Anatetea utofauti kama vile utofauti wa rangi, jinsia, umri na kadhalika kwenye jamii ya Ufalme wa Muungano, hasa akijikita kwenye taaluma ya sheria.
Abimbola alipata elimu yake ya chuoni kwenye Chuo Kikuu cha Newcastle kwenye msawala ya sheria. Abimbola ni mzazi wa kijana wa miaka 19 ambaye kwa sasa mwana wake yupo anasomea chuoni huko Chuo Kikuu cha Newcastle akisomea Uhandisi wa Programu.
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Abimbola ametokea kwenye wenye ndugu wa madaktari . [1] Alipata elimu Burgess Hill Girls . [2] Hakusoma udaktari kwa sababu ya wasiwasi wake wa "maumivu na damu" ( algophobia na hemophobia ). Alipata elimu yake ya shahada yake ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Newcastle kisha kurejea Nigeria kufanya mtihani wa Mwanasheria wa Nigeria. Abimbola alipata mtoto alivyofikisha miaka 28 akiwa kazini na na Campbell Hooper. [3] Kwenye mwaka wa 2000, alikua rasmi kama wakili . [4] Baba yake alifariki dunia kwenye mnamo wa 2012 baada ya kupatwa na ugonjwa wa saratani . [5] [6]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Abimbola akawa na nafasi ya juu sana kama wakili mweusi mwandamizi zaidi kwa shughuli za dawa za Roche nchini Uingereza, Ireland, Gibraltar na Malta .
Alirejea Nigeria kwa lengo la maandalizi ya mtihani wa Mwanasheria wa Nigeria. Akiwemo humo, alishirikiana kufanya kazi pamoja na FO Akinrele & Co. [7]
Baada ya kurejesha makazi yake nchini Uingereza kutoka Nigeria kwenye miaka ya 1990, alifanya kazi na Wembley Plc na kwa kipindi hicho alihitimu kama wakili wa kampuni/biashara. Kisha hapo mbeleni alihamia Campbell Hooper ambapo alifanya kazi kama wakili. [7] Mwaka 2012, alijiunga na taasisi ya Roche UK huku akifanya kazi kwa nafasi ya Wakili Mkuu (Uingereza na Ireland). [8] Ili kupata nafasi, niliandika orodha ya makampuni 100 bora ya sheria yaliyobobea kwenye sheria za makampuni na nikafanya vivyo hivyo na timu 50 bora za ndani. Kisha niliendelea kuwaita wakuu wa idara katika mashirika yote 150 kwa ubaridi. Hii ilisababisha mahojiano kadhaa, ikiwa ni pamoja na moja na PLC kubwa, iliyoorodheshwa kikamilifu. Kwney mazungumzo hayo, mkuu wa sheria (ambaye ni Mwingereza japo mwenzake ana asili ya Asia) aliuliza swali kama nilifikiri rangi yangu imekuwa sababu ya kutopata mahojiano na mashirika mengine. Hiyo ilikuwa, kwa kweli, mara ya kwanza hata kuchanganua mawazo kama rangi kama kitu chenye kuweza kuzuia maendeleo yangu. Mambo yakaja kubadilika,nilipewa nafasi na mimi na niliweza kuhitimu kama wakili ndani."
Tuzo na utambuzi
[hariri | hariri chanzo]| Mwaka | Darasa | Kategoria | Shirika la kutoa tuzo |
|---|---|---|---|
| 2015 | Mshindi | Tuzo la Mfano Chanya wa Kuigwa (Jinsia) | Tuzo za Kitaifa za Utofauti 2015 |
| 2015 | Mshindi | Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka katika Kazi | Wanawake4Afrika |
| 2015 | Mshindi | Mwanamke Bora katika Huduma za Kitaalamu | Tuzo la Thamani |
| 2015 | Mshindi | Mwanachama wa Mwaka Mwenye Kuvutia | Tuzo za Mtandao Jumuishi |
| 2015 | Cheti cha Sifa | Tuzo za Raia wa Uingereza 2015 | |
| 2016 | Mshindi | Diva Bora wa Mwaka | Divas wa Rangi |
| 2016 | Mshindi | Mpenzi wa Kimataifa wa Mwaka | Divas wa Rangi |
| 2016 | Mshindi | Mzungumzaji Bora wa Umma | Tuzo za CA kutoka kwa Jarida la C. Hub |
| 2016 | Mshindi | Siyo hadithi bora zaidi | Tuzo za CA kutoka kwa Jarida la C. Hub |
| 2016 | Utambuzi | Tuzo ya utambuzi kwa mafanikio na michango bora | Wanawake4Afrika |
| 2016 | Sehemu ya Mwanga | Tuzo ya Wajitolea | Waziri Mkuu wa Uingereza 2016 |
| 2017 | MBE (Mwanachama wa Agizo la Milki ya Uingereza) | Kwa huduma kwa utofauti katika taaluma ya sheria na kwa vijana | Malkia Elizabeth II |
| 2019 | LLD (Daktari wa Heshima wa Sheria) | Kwa michango kwa utofauti wa kijamii na makampuni | Chuo Kikuu cha Hertfordshire |
- Ifeoma Malo
- Ade Hassan
- Ade Olufeko
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "106 seconds with… Funke Abimbola, Managing Counsel for Roche UK, diversity champion, speaker and proud mother". 6th Sense. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-15. Iliwekwa mnamo 29 Juni 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Catching Up With 'Old Girl' Funke Abimbola". Burgess Hill Girls. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 3 Oktoba 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Careers counsel for aspiring lawyers: Roche's Funke Abimbola". Legal Business (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2014-07-04. Iliwekwa mnamo 2022-05-30.
- ↑ "Funke Abimbola". First100years. Iliwekwa mnamo 29 Juni 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Inspirational Woman: Funke Abimbola. Solicitor for one of the world's largest biotech companies". We are the City. Iliwekwa mnamo 29 Juni 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Ruxandra Iordache. "Careers counsel for aspiring lawyers: Roche's Funke Abimbola". Legal Business. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-18. Iliwekwa mnamo 29 Juni 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - 1 2 Ruxandra Iordache. "Careers counsel for aspiring lawyers: Roche's Funke Abimbola". Legal Business. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-18. Iliwekwa mnamo 29 Juni 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)Ruxandra Iordache. "Careers counsel for aspiring lawyers: Roche's Funke Abimbola" Ilihifadhiwa 18 Agosti 2016 kwenye Wayback Machine.. Legal Business. Retrieved 29 June 2016. - ↑ Pamoja na hayo alishikilia nafasi ya Afisa wa Ulinzi wa Data wa Uingereza. Kipindi cha mnamo Desemba 2015, akawa mshauri mkuu na katibu wa kampuni wa shirika hilo na akapanda cheo hadi cheo na kufikia kuwa mshauri mkuu na kiongozi mkuu wa uzingatiaji wa fedha mwaka wa Januari 2017. Alipambana na kero za kupata kazi ya kiwango vya kwanza nchi ya Uingereza. alielezea kwenye First 100 Years, "Niliona ni vigumu sana kupata nafasi ya kiwango cha kwanza nilipomaliza mtihani wa uhamisho wa QLTT (kwa sasa inafahamika kama QLTS) na nilihitaji kupata uzoefu kabla ya kufuzu. <ref>"Connectnigeria Articles" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2025-02-08.
- ↑ "General Counsel & Company Secretary, Roche UK". Speakers4Schools. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Julai 2018. Iliwekwa mnamo 7 Julai 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Profile: Funke Abimbola-Akindolie MBE, a multi-award winning solicitor". Nairametrics (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2017-12-07. Iliwekwa mnamo 2021-05-19.